Sunday 29 June 2014

LOUIS VAN GAAL AKUNWA NA DIRK KUYT, AFIKIRIA KUMSAJILI MAN UNITED

Leader: Holland and Manchester United boss Louis van Gaal (right) is considering a move for Dirk Kuyt
 Kiongozi: Kocha wa Uholanzi na Manchester United ,  Louis van Gaal (kulia) anafikiria kumsajili   Dirk Kuyt.
 
LOUIS van Gaal anafikiria kumrudisha England mshambuliaji wa zamani wa Liverpool,  Dirk Kuyt katika klabu ya  Manchester United.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 33 amekuwa akiichezea Fenerbahce tangu alipoondoka  Anfield mwaka 2012.
Van Gaal anampenda Kuyt kutokana na kuwa na nidhamu ya kazi na amekuwa msaada mkubwa kwa timu ya taifa ya Uholanzi hata kama umri wake ni mkubwa.
Future teammates? Kuyt and United striker Robin van Persie during practice for Holland
 Watakuwa timu moja baadaye? Kuyt akiwa   na mshambuliaji wa United,  Robin van Persie wakati wa mazoezi ya Uholanzi
Control: Kuyt spent six years with Liverpool in the Premier League and Van Gaal admires his attitude
 Anamiliki: Kuyt  alicheza miaka sita Liverpool na Van Gaal amevutiwa na uwezo wake na nidhamu ya mpira.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

0 comments: