Wednesday 25 June 2014

JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA LAOMBA USHIRIKIANO NA WANANCHI

kamanda wa polisi mkoni iringa Ramadhani mungi akizungumza na wandishi wa habari 

 Jeshi la polisi mkoani iringa lawaomba wananchi kushirikiano katika ulinzi shirikishi ili kuondokana na matatizo ya wizi ujambazi uliokithiri mkoni hapa
Hayo yamesemwa na Kamanda mkuu wa polisi mkoani iringa Bwana Ramadhani MUNGI   hivi karibuni alipokuwa  ofisini kwake na kuwataka wananchi kuwa  karibu na jeshi la poilisi  ili kuweza  kutatua matatizo yanayowakabili wananchi hao, Licha ya kuomba ushirkiano amewaomba kuwa makini katika kipindi hiki cha mfungo wa mwenzi mtukufu wa ramadhani
 Hata hivyo kwa upande wa wananchi wao  wameliomba jeshi la polisi mkoni iringa kufika mapema katka sehemu ya tukio ili kuweza kufanikisha zoezi la kuwakabiri vibaka na virugugu mbalimbali zinazo kuwa zimejitokeza    na siyo kufika  baada ya tukio

habari na vitalisy malata 0769685297  
kutoka  mkoani  iringa

0 comments: