Thursday 26 June 2014

MWENGE WA UHURU ULIVYOPOKELEWA MKOANI IRINGA

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Joel Bendera akimkabidhi mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk. Christine Ishengoma Mwenge wa uhuru katika viwanja vya Ruaha Mbuyuni Sokoni. SAM_5854 
Luteni Tanu Mlowezi mmoja wa wakimbiza mwenge wa Uhuru 2014 akimkabidhi Mwenge Mkuu wa Wilaya ya IringaDk. Leticia Warioba. SAM_5856 
Luteni Tanu Mlowezi mmoja wa wakimbiza mwenge wa Uhuru 2014 akimkabidhi Mwenge kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi
SAM_5863 
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk. Christine Ishengoma akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa wilaya ya Kilolo Gerald Guninita rasmi kuanza kukimbizwa katika wilaya ya Kilolo katika makabidhiano yaliyofanyika katika viwanja mnadani Ruaha Mbuyuni.
SAM_5885 

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akizundua shamba la vitunguu katika kijiji cha Mtandika. SAM_5896 
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akizungumza na wananchi kuhusiana na ujumbe wa mwenge wa uhuru kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Kilolo Gerald Guninita na kushoto Kaimu mkurugenzi wa wilaya hiyo Ulbad Wampemba.

0 comments: