Monday 23 June 2014

UEFA CHAMPIONZ LIGI 2014/15: DROO RAUNDI ZA AWALI YAFANYIKA!

UCL-2014-15-LOGODROO za Raundi ya Kwanza na ya Pili za Mchujo za UEFA CHAMPIONZ LIGI kwa Msimu mpya wa 2014/15 imefanyika hii Leo huko Nyon, Uswisi.
Timu kubwa ambazo zitaanza hatua hizi za awali ni pamoja na Celtic FC ya Scotland na FC Steaua BucureÅŸti ya Romania ambazo Msimu uliopita zilifika Hatua ya Makundi baada ya kuanzia Raundi ya Pili ya Mchujo kama safari hii.
Msimu huu, Celtic itacheza na KR Reykjavík ya Iceland na FC Steaua Bucureşti kucheza na Strømsgodset IF ya Norway.Mechi hizo zitachezwa Tarehe 15 na 16 Julai na Marudiano Tarehe 22 na 23 Julai.
Washindi wa Raundii hiyo watasonga Raundi ya Tatu ya Mchujo na kisha Raundi ya Mwisho ya Mchujo kabla Makundi kuanza.
DROO KAMILI
Raundi ya Kwanza ya Mchujo
(Mechi kuchezwa Julai 1/2 na Marudiano Julai 8/9)
FC Santa Coloma (AND) v FC Banants (ARM)
Lincoln FC (GIB) v HB Tórshavn (FRO)
SP La Fiorita (SMR) v FC Levadia Tallinn (EST)
Raundi ya Pili ya Mchujo
(Mechi kuchezwa Julai 15/16 na Marudiano Julai 22/23)
FC BATE Borisov (BLR) v KS Skënderbeu (ALB)
Maccabi Tel-Aviv FC (ISR) v FC Santa Coloma (ARM)/FC Banants (ARM)
FC Dinamo Tbilisi (GEO) v FK Aktobe (KAZ)
HÅ K Zrinjski (BIH) v NK Maribor (SVN)
FC Sheriff (MDA) v FK Sutjeska (MNE)
AC Sparta Praha (CZE) v SP La Fiorita (SMR)/FC Levadia Tallinn (EST)
Malmö FF (SWE) v FK Ventspils (LVA)
Å K Slovan Bratislava (SVK) v The New Saints FC (WAL)
Celtic FC (SCO) v KR Reykjavík (ISL)
Cliftonville FC (NIR) v Debreceni VSC (HUN)
FK Partizan (SRB) v Lincoln FC (GIB)/HB Tórshavn (FRO)
Legia Warszawa (POL) v Saint Patrick's Athletic (IRL)
FK Rabotnicki (MKD) v HJK Helsinki (FIN)
GNK Dinamo Zagreb (CRO) v VMFD Žalgiris (LTU)
PFC Ludogorets Razgrad (BUL) v F91 Dudelange (LUX)
Valletta FC (MLT) v QarabaÄŸ FK (AZE)
Strømsgodset IF (NOR) v FC Steaua Bucureşti (ROU)

0 comments: