Friday 27 June 2014

KOMBE LA DUNIA: ALGERIA YATINGA RAUNDI YA PILI, KUKUTANA NA GERMANY!!


 BELGIUM VINARA KUNDI H, RUSSIA, KOREA NJE!!
 SAFU RAUNDI YA PILI YA MTOANO YAKAMILIKA!
ALGERIA 1 RUSSIA 1
ALGERIA-SLIMANIBaada ya kusubiri Miaka 32 na Siku 1 walipofanyiwa njama na Germany na Austria, Algeria hatimae wameweza kutinga Raundi ya Pili ya Fainali za Kombe la Dunia kufuatia Sare yao ya Leo ya 1-1 na Russia iliyowafanya wao na Vinara Belgium kusonga mbele toka Kundi H.
Russia walitangulia kufunga Bao lao kwenye Dakika ya 6 kupitia Aleksandr Kokorin na Algeria kusawazisha kwa Bao la Islam Slimani katika Dakika ya 60.
Kufuzu kwao Leo hii Algeria kumekumbusha skandali iliyotokea kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 1982 huko Spain ambako kwenye Mechi ya mwisho ya Kundi Germany na Austria walikula njama ili kuitoa nje Algeria baada kutengeneza ushindi wa Bao 1-0 kwa Germany.
Mwaka huo, kwenye Fainali hizo zilizoitwa España 82, Algeria walianza Mechi za Makundi kwa kuibamiza Germany 2-1 kwa Bao za Malejendari Rabah Madjer na Lakhdar Belloumi.
Kwenye Raundi ya Pili ya Mtoano huko Brazil hapo Jumatatu Juni 30, Algeria watacheza na Germany.
VIKOSI:
ALGERIA: M'Bolhi, Mandi, Belkalem, Halliche, Mesbah, Medjani, Bentaleb, Feghouli, Brahimi, Djabou, Slimani.
Akiba: Si Mohamed, Bougherra, Ghoulam, Yebda, Lacen, Ghilas, Soudani, Zemmamouche, Cadamuro, Taider, Mahrez, Mostefa.
RUSSIA: Akinfeev, Kozlov, Berezutski, Ignashevich, Kombarov, Glushakov, Fayzulin, Samedov, Kokorin, Shatov, Kerzhakov.
Akiba: Lodygin, Shchennikov, Semenov, Kanunnikov, Denisov, Dzagoev, Granat, Mogilevets, Ryzhikov, Zhirkov, Ionov, Eshchenko.
Refa: Cuneyt Cakir (Turkey)
KUNDI H
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Belgium
3
3
0
0
4
1
3
9
Algeria
3
1
1
1
6
5
1
4
Russia
3
0
2
1
2
3
-1
2
South Korea
3
0
1
2
3
6
-4
1
BELGIUM 1 SOUTH KOREA 0
Belgium, ambao walikuwa tayari wametinga Raundi ijayo kabla ya Mechi ya Leo, wameifunga South Korea Bao 1-0 licha ya kucheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 44.
Steven Defour, anaechezea FC Porto, alitolewa kwenye Dakika ya 44 kwa Rafu mbaya lakini Jan Vertonghen aliwafungia Belgium Bao moja na pekee katika Dakika ya 78.
Kwenye Raundi ya Pili ya Mtoano Belgium watacheza na USA hapo Julai 1.
VIKOSI:
SOUTH KOREA: 21-Kim Seung-gyu; 12-Lee Yong, 3-Yoon Suk-young, 5-Kim Young-gwon, 20-Hong Jeong-ho; 16-Ki Sung-yeung, 14-Han Kook-young, 17-Lee Chung-yong, 9-Son Heung-min, 13-Koo Ja-cheol; 18-Kim Shin-wook
BELGIUM: 1-Thibaut Courtois; 5-Jan Vertonghen, 15-Daniel Van Buyten, 18-Nicolas Lombaerts, 21-Anthony Vanden Borre; 8-Marouane Fellaini, 14-Dries Mertens, 11-Kevin Mirallas, 19-Mousa Dembele, 16-Steven Defour; 20-Adnan Januzaj
Refa: Benjamin Williams (Australia)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI
**Saa za Bongo
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia 0 Spain 3
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands 2 Chile 0
B
Arena Corinthians
2300
Croatia 1 Mexico 3
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon 1 Brazil 4
A
Nacional
JUMANNE, JUNI 24, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Italy 0 Uruguay 1
D
Estadio das Dunas
1900
Costa Rica 0 England 0
D
Estadio Mineirão
2300
Japan 1 Colombia 4
C
Arena Pantanal
2300
Greece 2 Ivory Coast 1
C
Estadio Castelão
JUMATANO, JUNI 25, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Nigeria 2 Argentina 3
F
Estadio Beira-Rio
1900
Bosnia-Herzegovina 3 Iran 1
F
Arena Fonte Nova
2300
Honduras 0 Switzerland 3
E
Arena Amazonia
2300
Ecuador 0 France 0
E
Estadio do Maracanã
ALHAMISI, JUNI 26, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
United States 0 Germany 1
G
Arena Pernambuco
1900
Portugal 2 Ghana 1
G
Nacional
2300
South Korea 0 Belgium 1
H
Arena Corinthians
2300
Algeria 1 Russia 1
H
Arena da Baixada
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
49
Brazil v Chile
Mineirão
Belo Horizonte
2300
50
Colombia v Uruguay
Maracanã
Rio de Janeiro
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
51
Netherlands v Mexico
Castelao
Fortaleza
2300
52
Costa Rica v Greece
Pernambuco
Recife
JUMATATU, JUNI 30, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
53
France v Nigeria
Nacional
Brasilia
2300
54
Germany v Algeria
Beira-Rio
Porto Alegre
JUMANNE, JULAI 1, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
55
Argentina v Switzerland
Corinthians
Sao Paulo
2300
56
Belgium v USA
Fonte Nova
Salvador

0 comments: