Monday 23 June 2014

Rais Kikwete atoa hotuba ya ufunguzi Mkutano wa CAG Dar es salaam

323 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo
(pich na Freddy Maro)

0 comments: