Wednesday 25 June 2014

HOT NEWS! TAARIFA ZINAZODAI SHUKURU KAWAMBWA AMEFARIKI DUNIA HAZAJADHIBITISHWA

  Exclusive!!! Habari ilotufikia hivi punde ni kuwa waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi wa Tanzania mh. Shukuru Kawambwa amefariki dunia.... Bado sio rasimi na hazina ukweli kwa kuwa hakina alidhibitisha kifo chake ila Bado tupo katika mchakato wa kuthibitisha hili... tumempigia simu ila haipokelewi. Inasemekana alikuwa safarini kuelekea mkoani Mwanza na amepata mshtuko wa ghafla.endelea kufuatalia mtandao huu

0 comments: