Sunday, 22 June 2014

UBELGIJI YATINGA 16 BORA KOMBE LA DUNIA, YAWAACHIA KIMBEMBE ALGERIA, KOREA NA URUSI

 
 
 
Mchezaji wa Miaka 19, Divock Origi, akitokea Benchi, alifunga Bao zikiwa zimesalia Dakika 2 na kuiingiza Belgium Raundi ya Pili ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil baada ya kuifunga Russia Bao 1-0 kwenye Mechi ya Kundi H.
Kipindi cha Kwanza Russia walikosa nafasi ya wazi pale Alexander Kokorin alipopiga Kichwa nje lakini pia Belgium walikosa Bao zikiwa zimebaki Dakika 7 baada ya Shuti la Kevin Mirallas  kugonga Posti.
Lakini kazi safi ya Eden Hazard kumlisha Origi ndio iliwapa ushindi Belgium na kuwaingiza Raundi ya Pili.
KUNDI H
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Belgium
2
2
0
0
3
1
2
6
Russia
2
0
1
1
1
2
-1
1
South Korea
1
0
1
0
1
1
0
1
Algeria
1
0
0
1
1
2
-1
0
Mechi ya mwisho Belgium watamaliza na South Korea na Russia kucheza na Algeria.DIVOCK_ORIGI
Baadae hii Leo, South Korea watacheza na Algeria.
VIKOSI:
BELGIUM:
01 Courtois
02 Alderweireld Booked
03 Vermaelen (Vertonghen - 31')
08 Fellaini
15 van Buyten
04 Kompany
14 Mertens (Mirallas - 75')
06 Witsel Booked
09 Lukaku (Origi - 57')
07 De Bruyne
10 Hazard
RUSSIA:
01 Akinfeev
02 Kozlov (Eshchenko - 62')
23 Kombarov
20 Faizulin
14 Berezoutski
04 Ignashevitch
19 Samedov (Kerzhakov - 90')
08 Glushakov Booked
09 Kokorin
17 Shatov (Dzagoev - 83')
06 Kanunnikov
REFA: Felix BRYCH [Germany]
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium 1 Russia 0
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional
 

0 comments: