Thursday 26 June 2014

KOMBE LA DUNIA: LEO GHANA, ALGERIA KUFUATA NYAYO ZA NIGERIA KUFUZU?


PATA MAHESABU MAKALI KUHUSU KUFUZU KWAO!
GHANA v PORTUGAL, ALGERIA v RUSSIA
BRAZIL_2014_ORIJINO11Leo Makundi G na H yanahitimisha Hatua ya Makundi ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil kwa kucheza Mechi zao za mwisho na ni Belgium pekee ambayo ndio imeshatinga Raundi ya Pili ya Mtoano toka Makundi hayo.
Baada kutupwa nje kwa Ivory Coast na Cameroon na kufuzu kwa Nigeria hapo Jana, Leo Afrika inazo Nchi zake mbili za mwisho, Ghana na Algeria, ambazo bado zina nafasi ya kuingia Raundi ya Pili.
Kwenye Kundi G, USA itacheza na Germany huko Estadio Pernambuco, Recife na Ghana kucheza na Portugal huko Estadio Nacional, Brasilia.
Kundi H ni South Korea v Belgium huko Arena Corinthians, Sao Paulo na Algeria v Russia ndani ya Arena da Baixada, Curitiba.
+++
MSIMAMO:
KUNDI G
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Germany
2
1
2
0
6
2
4
4
USA
2
1
1
0
4
3
1
4
Ghana
2
0
1
1
3
4
-1
1
Portugal
2
0
1
1
2
6
-4
1

KUNDI H
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Belgium
2
2
0
0
3
1
2
6
Algeria
2
1
0
1
5
4
1
3
Russia
2
0
1
1
1
2
-1
1
Korea
2
0
1
1
3
5
-2
1
 
Mahesabu makali
KUNDI G
Germany na USA zote zitafuzu ikiwa zitatoka Sare.
Ili Ghana kuingia Raundi ya Pili ni lazima kuifunga Portugal na Germany iifunge USA lakini ikiwa Ghana itaifunga Portugal kwa tofauti ya Bao 1 na USA kufungwa kwa tofauti hiyo hiyo, USA watasonga kwa vile wana Rekodi bora ya uso kwa uso na Ghana.
Ghana pia wanaweza kufuzu ikiwa USA itaifunga Germany Bao nyingi.
Lakini Portugal wao wana kibarua kigumu mno kwani kwanza lazima waifunge Ghana na kisha wapindue tofauti ya Bao 5 dhidi ya USA ikifungwa.
KUNDI H
Belgium wameshafuzu na wakipata Pointi 1 kwenye Mechi yao na South Korea itawahakikishia kumaliza Vinara wa Kundi hili.
Algeria watatinga Raundi ya Pili wakiifunga Russia lakini Sare pia ni poa ikiwa tu South Korea hawaifungi Belgium Bao nyingi.
Russia watafuzu ikiwa tu wataifunga Algeria na South Korea washindwe kuifunga Belgium.
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI
**Saa za Bongo
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia 0 Spain 3
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands 2 Chile 0
B
Arena Corinthians
2300
Croatia 1 Mexico 3
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon 1 Brazil 4
A
Nacional
JUMANNE, JUNI 24, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Italy 0 Uruguay 1
D
Estadio das Dunas
1900
Costa Rica 0 England 0
D
Estadio Mineirão
2300
Japan 1 Colombia 4
C
Arena Pantanal
2300
Greece 2 Ivory Coast 1
C
Estadio Castelão
JUMATANO, JUNI 25, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Nigeria v Argentina
F
Estadio Beira-Rio
1900
Bosnia-Herzegovina v Iran
F
Arena Fonte Nova
2300
Honduras v Switzerland
E
Arena Amazonia
2300
Ecuador v France
E
Estadio do Maracanã
ALHAMISI, JUNI 26, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
United States v Germany
G
Arena Pernambuco
1900
Portugal v Ghana
G
Nacional
2300
South Korea v Belgium
H
Arena Corinthians
2300
Algeria v Russia
H
Arena da Baixada
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
49
Brazil v Chile
Mineirão
Belo Horizonte
2300
50
Colombia v Uruguay
Maracanã
Rio de Janeiro
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
51
Netherlands v Mexico
Castelao
Fortaleza
2300
52
Costa Rica v Greece
Pernambuco
Recife
JUMATATU, JUNI 30, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
53
1E v 2F
Nacional
Brasilia
2300
54
1G v 2H
Beira-Rio
Porto Alegre
JUMANNE, JULAI 1, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
55
1F v 2E
Corinthians
Sao Paulo
2300
56
1H v 2G
Fonte Nova
Salvador

 

0 comments: