Sunday 1 June 2014

ENGLAND WAELEKEA MIAMI KUWEKA KAMBI YA MANDALIZI YA KOMBE LA DUNIA




Smile chaps: Alex Oxlade-Chamberlain (left) takes a selfie on the team bus alongside Daniel Sturridge with Raheem Sterling (left) and Danny Welbeck looking on in the background
All aboard: The England squad have flown to Miami to continue their World Cup preparations



Say cheese: England players pose in their suits for their World Cup team photo before flying out to Miami
Wachezaji wa England wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kwenda Miama.
Imechapishwa Juni 1, 2014, saa 11:32 jioni
KUNA mdahalo mkubwa kama England wapo tayari kwa kombe la dunia, lakini vijana wa `simba watatu` hawana wasiwasi kabisa kama walivyoonekana katika picha ya pamoja kabla ya kwend Brazil.
Kikosi cha Roy Hodgson kilipiga picha ya pamoja kabla ya kupanda ndege kwenda Miami kuweka kambi yao ya maandalizi ya kombe la dunia mwezi huu na watacheza mechi mbili za kirafiki kabla ya kuwasili rasmi Marekani kusini.

0 comments: