AKIREJEA, KUITAYARISHA TIMU KUIVAA SIMBA ‘NANI MTANI JEMBE’ DESEMBA 14!!
MABINGWA
wa Tanzania Bara, Yanga, leo imekanusha vikali taarifa zilizozagaa kuwa
wapo mbioni kumchukua aliekuwa Kocha wa Azam FC, Stewart Hall, na
kusisitiza kuwa Kocha wao Ernie Brandts bado yupo na ataendelea na kazi
yake.
Mbali ya kukanusha kutaka kumchukua
Hall, anaetoka Uingereza na ambae hivi Juzi aliondolewa kuifundisha Azam
FC, Yanga pia imesisitiza haijawahi kufanya mazungumzo na Kocha huyo.
Yanga imefafanua kuwa Brandts, ambae
amemudu kuifanya Yanga imalize Raundi ya Kwanza ya Ligi Kuu Vodacom
ikiwa kileleni, kwa sasa yupo Likizo ya Wiki mbili ambayo pia Wachezaji
wamepewa na Kocha huyo anatarajiwa kurejea Nchini Novemba 24 na Siku
inayofuatia yeye na Kikosi chake wataanza Mazoezi kwa ajili ya mchezo wa
Hisani, Nani Mtani Jembe, dhidi ya Simba utakaochezwa Desemba 14.
Taarifa hiyo ya Yanga ilisisitiza uvumi
huu ulikuwa na lengo la kutaka kuwavuruga ili wasifanye vizuri kwenye
Raundi ifuatayo ya Ligi na pia Mashindano ya Kimataifa.
Ligi Kuu Vodacom itaanza Raundi ya Pili hapo Januari 25.
LIGI KUU VODACOM
MSIMAMO:
NO
|
TEAMS
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
|
Young Africans |
13
|
8
|
4
|
1
|
31
|
11
|
20
|
28
|
2
|
Azam FC |
13
|
7
|
6
|
0
|
23
|
10
|
13
|
27
|
3
|
Mbeya City |
13
|
7
|
6
|
0
|
20
|
11
|
9
|
27
|
4
|
Simba SC |
13
|
6
|
6
|
1
|
26
|
13
|
13
|
24
|
5
|
Kagera Sugar |
13
|
5
|
5
|
3
|
15
|
10
|
3
|
20
|
6
|
Mtibwa Sugar |
13
|
5
|
5
|
3
|
19
|
17
|
2
|
20
|
7
|
Ruvu Shootings |
13
|
4
|
5
|
4
|
15
|
15
|
0
|
17
|
8
|
Coastal Union |
13
|
3
|
7
|
3
|
10
|
7
|
3
|
16
|
9
|
JKT Ruvu |
13
|
5
|
0
|
8
|
10
|
16
|
-6
|
15
|
10
|
Rhino Rangers |
12
|
2
|
4
|
6
|
9
|
16
|
-7
|
10
|
11
|
JKT Oljoro |
13
|
2
|
4
|
7
|
9
|
19
|
-10
|
10
|
12
|
Ashanti United |
13
|
2
|
4
|
7
|
12
|
24
|
-12
|
10
|
13
|
Tanzania Prisons |
12
|
1
|
5
|
6
|
6
|
16
|
-10
|
8
|
14
|
Mgambo JKT |
13
|
1
|
3
|
9
|
3
|
23
|
-20
|
6
|
RATIBA
RAUNDI YA PILI
25 Januari 2014
Ashanti United v Yanga
Azam FC v Mtibwa Sugar
Coastal Union v JKT Oljoro
Kagera Sugar v Mbeya City
Tanzania Prisons v Ruvu Shootings
JKT Ruvu v Mgambo JKT
Simba v Rhino Rangers
0 comments:
Post a Comment