Rais
wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, akizungumza
katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wasanii Februari
28,2014 katika ukumbi vijana kinondoni jijini Dar es Salaam., kuhusu
viongozi mbalimbali wa Sanaa hapa nchini kwenda mkoani Dodoma Bungeni
kupeleka ujumbe wa matakwa ya wasanii kuingizwa katiba Katiba mpya.
Kutoka kulia ni Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili, Addo November,
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey
Mngereza na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (Tamunet), John
Kitime.
Kaimu
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey Mngereza
akibonyeza kitufe kuzindua rasmi CD yenye wimbo wa kuhamasisha wabunge
la katiba kuweka kipengele cha kulinda haki bunifu za wasanii nchini
wimbo huo umetungwa na wasanii mbalimbali.uzinduzi huo lifanyika
Februari 28,2014 katika ukumbi vijana kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wasanii mbalimbali pamoja na waandishi wa habari wakishuudia uzinduzi huo.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
0 comments:
Post a Comment