Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja
na waziri mkuu mstaafu ambaye ni mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa na
viongozi wengine wakiwa katika mazishi ya balozi Fulgence Kazaura huko
Misenyi Kagera.
Waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa
akisalimiana na mkuu wa zamani wa Chuo kikuu cha dar es salaam balozi
Nicolaus Kuhanga huku Makamu mkuu wa Chuo hicho hivi sasa Profesa
Rwekaza Mukandala(katikati) akisikiliza,wakati wa mazishi ya mkuu wa
Chuo hicho balozi Fulgence Kazaura.
Picha na Aboubakary Liongo
0 comments:
Post a Comment