MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Wednesday, 31 July 2013

WACHEZAJI WA YANGA SC WANADAI CHAO

  Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Bora uliopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam jana Jumatatu. Picha na Michael Matemanga.      Siku moja baada ya uongozi wa...

WALIONACHO WANASAMEHEWA KODI,WASIONACHO WANAKAMULIWA......'''''''''''''

      Wiki iliyopita katika safu hii nilijadili suala la kuanzishwa kwa kodi za simu katika utekelezaji wa bajeti ya mwaka huu. Ni jambo linaloonekana kuichanganya...

MTANZANIA ATIMULIWA KWA AIBU BIG BROTHER AFRIKA

  Nando.  MSHIRIKI machachari katika mashindano ya Big Brother The Chase, Amil Khan maarufu kama Nando, juzi Jumapili usiku alitimuliwa kwenye jumba hilo baada ya kuingia na mkasi chumbani alipogombana na Elikem wa Ghana hali iliyowafanya...

MENGI YAIBUKA MTOTO ALIYETUPWA ENEO LA NDIUKA ''A'' MKOANI IRNGA

  Mwenyekiti  wa serikali ya mtaa wa Ndiuka  A Siwema  Ally  akisoma barua  aliyoandikiwa  mwanamke huyo na polisi Makambako SIKU  moja baada ya mwanamke  aliyetambuliwa  kwa  jina la Stella...

CHADEMA YAVUNA WANACHAMA 300 TANGA

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tanga kimepata wanachama wapya zaidi ya 300. Wanachama hao wamepatikana katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika wilaya za Handeni, Muheza na Korogwe uliohutubiwa na Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje.   Wanachama 220 wamejiunga na chama hicho katika...

HATIMA YA KESI YA MAKADA WA CHADEMA AUGOST 5

    Uamuzi dhidi ya kesi inayowakabili wanachama watano wa Chadema yaliyokuwa yatolewe jana sasa yatatolewa Agosti 5. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Simon Lukelelwa alitoa uamuzi huo kufuatia kuchelewa kufika kwa washtakiwa wa kesi hiyo waliohifadhiwa...

Tuesday, 30 July 2013

TUTAMSHITAKI WAZIRI MKUU MAHAKAMANI LHRC

LHRC: Tutamshtaki Waziri Mkuu mahakamani   Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  kubainisha na kuchukua hatua stahiki, badala ya kusakama makundi fulani, tujue chanzo halisi cha vurugu hizi na matatizo haya...

MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA NA KUMPA MIMBA MTOTO WAKE

Mkazi mmoja wa Isanga, Mbeya amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumpa mimba binti yake wa kumzaa wa umri wa miaka 15. MAHAKAMA ya wilaya ya Mbeya imemhukumu kwenda jela miaka 30 mkazi wa Isanga Mkoani hapa baada ya kumtia hatiani...

Monday, 29 July 2013

MFANYAKAZI WA MWANANCHI COMMONICATION LIMITED APIGWA RISASI

    . Picha na Venance Nestory  Na Daria Erasto, Mwananchi   Posted  Jumatatu,Julai29  2013 Dar es Salaam. Watu ambao wanasadikiwa kuwa ni majambazi wamemjeruhi kwa risasi mfanyakazi...

DK SLAA AMWEKA KITIMOTO DK NCHIMBI

  Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akichangia hoja kwenye Kongamano la Kujadili Amani nchini kwa miaka 50 ijayo lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana. Picha na Fidelis Felix  Na Raymond...

WALIOGOMA KURUDIA KDATO CHA 2 KUKIONA

  SERIKALI imewataka wazazi kuhakikisha wanafunzi wote 36,000 waliofeli kidato cha pili mwaka jana na kutakiwa kurudia darasa hilo wanafanya hivyo vinginevyo hawataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato...

IDD AZAN AZUNGUMZIA TUHUMA ZA KUFANYA BIASHARA ZA MADAWA YA KULEVYA

IDD AZAN Siku chache baada ya jina lake kutajwa kwenye waraka unaodaiwa kuwa barua kutoka kwa mmoja wa  Watanzania waliofungwa katika jela huko Hong Kong, Mbunge wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan amezungumza na kusema kuwa yupo tayari kujiuzulu ubunge ikiwa itabainika...

Saturday, 27 July 2013

JAPHET KASEBA AIANGUKIA SERIKALI

  BONDIA wa ngumi za mateke ‘Kick boxing’, Japhet Kaseba, ameisihi serikali kuwekeza kwenye mchezo huo na sekta hiyo kwa ujumla ili iweze kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji mbalimbali. Kaseba anayeing’arisha Tanzania katika ndondi aina ya Kick Boxing, alisema juzi kuwa kama serikali kupitia...

AFISA FEKI WA NIDA AKAMATWA NA POLISI

  JESHI la Polisi mkoani Dodoma, linamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za utapeli kwa kuwadanganya wanafunzi wa vyuo vikuu, kuwa atawapatia kazi Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime, alisema alipokuwa akizungumza...

ANGALIA ORODHA YA MISHAHARA MIPYA YA WATUMISHI WA UMMA 2013

TGHS I (Sh 2,800,000).TGHS JTGHS J (Sh 2,900,000)TGHS KTGHS K (Sh 3,100,000)TGHS LTGHS L (Sh 3,400,000)Watumishi wa MahakamaTJS 1TJS 1.1. (Sh 510,000), TJS 1.2. (Sh 535,000), TJS 1.3. (Sh 560,000), TJS 1.4. (Sh 585,000), TJS 1.5. (Sh 610,000), na TJS 1.6. (Sh 635,000) na...

NGUZO ZINAZO OZA AU KUANGUKA NI HATARI KWA WANANCHI (ANGALIA HII NGUZO)

Hii nguzo iliyooza inamsubiri muda ufike ifunge barabara au imwangukie mtu imuue.Hii nguzo ilianguka usiku wa manane na hadi saa 3 asubuhi ya leo Jumamosi tarehe 27/07/2013 hakuna mtu yeyote wa TANESCO aliyefika kufanya chochote. Nguzo hii iko barabara ya kutokea mzunguko...

STARS KUPAMBANA NA UGANDA THE CRANES LEO ( ANGARIA MANDARI YA STARS)

STARS WAKIWA MAZOEZI KUPAMBANA NA CRANE LEO   Wachezaji mbalimbali wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Satrs' ambao wanasakata kabumbu ndani ya nchi wakijifua katika Uwanja wa Taifa wa Mandela uliopo Nambole nchini Uganda. Stars ipo...

Friday, 26 July 2013

ATUHUMIWA KWA SHITAKA LA KUMUA MUMEWE ILI ARIDHI MALI

Janeth Jackson (32), mke wa mfanyabashara maarufu wa madini mkoani Arusha anadaiwa  kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo.Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, amesema mwanamke huyo aliwaagiza watu wawili kumsaidia kutekeleza...

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAUAJI YA MFANYAKAZI WA MGODI WA TANZANIE, KITALU C, MIRERANI WILAYANI SIMANJIRO

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAUAJI YA MFANYAKAZI WA MGODI WA TANZANIE, KITALU C, MIRERANI WILAYANI SIMANJIRO Tarehe 20 Julai, 2013 kulitokea mauaji ya mfanyakazi wa mgodiwa Tanzanite ulioko kitalu C, Mirerani wilayani Simanjiro kwakupigwa risasi na mchimbaji kutoka...

Wednesday, 24 July 2013

MFUASI WA MUNGUGI AJITIA KITANZI KITANZI AKIHOFIA KUKAMATWA NA POLISI

Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga kwenye picha ya awali. Picha/MAKTABA   MFUASI sugu wa kundi haramu la Mungiki alijiua kwa kujitia kitanzi usiku wa kuamkia Jumatano Katika Kaunti ya Murang’a baada ya kupata habari kuwa polisi walikuwa wakimwandama. ...