Wednesday 21 May 2014

USILETE MCHEZO NA MAISHA !TAZAMA HATARI BARABARA YA KIJICHI

 
picha 1 Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, zahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa lakini mpaka leo iko kimya. Picha zote na Nathan Mpangala. picha 2  
Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. picha 3 Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari hii!!! picha 4 
Halafu hapo hapo ni kituo cha daladala! Manispaa ya Temeke hata alama za hatari pia hakuna? picha 5 
Kwa maana nyingine gari ikitumbukia hapa, mpaka ije ijikite chini itakuwa imepiga samasoti za kutosha!us

0 comments: