Friday 30 May 2014

HIVI NDIVYO KINANA ALIVYO ITIKISA WILAYA YA BABATI


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya ya Babati yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali na kusikiliza kero za wananchi ili kuzipatia ufumbuzi, Mkutano huo umefanyika kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati ukihudhuriwa na maelfu yaWananchi.  2 
Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi

0 comments: