Saturday 24 May 2014

MARAIS WAODOKA BAADA YA KUSHUHUDIA KUAPA KWA ZUMA

 
p_74480.jpg

Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya uhuru kamili wa Afrika Kusini  katika sherehe za kuapa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings mjini Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014
 
5_3f8c6.jpg
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiondoka Union Buildings baada ya kushuhudia Rais Jacob Zuma akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings mjini Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014
70_89d82.jpg
Marais na viongozi toka nchi mbalimbali wakiondoka Union Buildings baada ya kushuhudia Rais Jacob Zuma akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings mjini Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014

0 comments: