Wednesday 21 May 2014

HOSNI MUBSRSK JELA MIAKA 3 NA WANAE WAPIGWA IELA MIAKA MINNE KILA MMOJA

 
131219101534_mubarak_304x171_ap_nocredit_d5c5e.jpg

Hosni Mubarak wakati kesi yake ilipokuwa inaendelea


Rais aliyeondolewa madarakani nchini Misri, Hosni Mubarak amehukumiwa jela miaka mitatu.
Wanawe wawili Alaa na Gamal wamepata kifungo cha miaka minne kila mmoja.
Wendesha mashitaka walisema kuwa wanawe Mubarak waliponda mamilioni ya dola pesa za umma zilizotengewa kukarabati ikulu ya Rais na badala yake wakafanyia ukarabati nyumba zao za kifahari.
Wametakiwa kulipa pesa hizo za serikali na kutozwa faini ya dola milioni tatu.
CHANZO BBC

0 comments: