Saturday 24 May 2014

HATARI :YAYA TOURE APATWA NA UGONJWA USIOFAHAMIKA, YUPO QATAR KUPATA MATIBABU

Scare: Yaya Toure is being treated for an injury before he meets up with Ivory Coast for the World Cup  
Hofu: Yaya Toure anatibiwa kabla ya kujiunga na kambi ya Ivory Coast tayari kwa maandilizi ya kombe la dunia.
YAYA Toure yupo nchini Qatar kupata matibabu ya ugonjwa usiofahamika kabla ya kujiunga na Ivory Coast kwenye kambi ya maandalizi ya kombe la dunia nchini Marekani, shirikisho la Ivory Coast limesema jana ijumaa.
Yaya ni mchezaji pekee anayekosekana katika kikosi cha wachezaji 28 kilichotajwa na kocha Sabri Lamouchi kwa maandalizi ya awali ya kombe la dunia yaliyoanza alhamisi mjini Dallas.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

0 comments: