Hakuna
tatizo kabisa: Mwanasoka Bora wa Dunia Cristiano Ronaldo akifanya
mazoezi na timu yake, Real Madrid leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa leo wa
Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno
dhidi ya jirani zao, Atletico Madrid. Kocha wa Real, Carlo Ancelotti ana
matumaini mchezaji huyo atakuwa fiti kwa asilimia 100 leo katika mchezo huo


Ronaldo na wachezaji wenzake wanaonekana wapo tayari kabisa kubeba taji la 10 la Ligi ya Mabingwa

Ronaldo akitaniana na gwiji wa Real Madrid, Raul (kushoto) na kipa Iker Casillas

Beki Pepe akipatiwa huduma ya kwanza mazoezini leo Lisbon

Karim Benzema kulia akipiga danadana
0 comments:
Post a Comment