Friday 30 May 2014

HIVI NDIVYO WAPINZANI WALIVYO TOKA TENA BUNGENI JIONI HII YA LEO

 
Jioni hii ya leo katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la APTL linalohusu Wizara hiyo... 
Mbowe Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea kumsifia Waziri wa Wizara hiyo.

bunge-2 5602e

Wakati wa mjadala wa uchangiaji wa hutuba ya bajeti ya wizara ya Nishati na madini ukiendelea wabunge wa vyama vya upinzani wamatoka nje ya ukumbi wa bunge  Kwa sababu ya kuwa wabunge wa ccm wanaficha uovu katika wizara ya nishati na madini

0 comments: