Saturday 24 May 2014

NYAMA NDIYO UGONJWA ULIOMPELEKA YAYA TOURE QATAR


Matibabu ya Yaya Toure nchini Qatar yaliyokuwa yakifanyika kwa siri bila kuelezwa tatizo ni nini, imegundulika ni nyama za paja.

Yaya amefunga safari hadi nchini Qatar kupata matibabu wakati kikosi cha Ivory Coast kikiwa  jijini Florida, Marekani kujiandaa na Kombe la Dunia litakalopigwa nchini Brazil.
Imeelezwa hadi Alhamisi, Yaya atajiunga na wenzake, lakini tayari kuna ushauri umetolewa na daktari asicheze mechi ya kwanza ili kupata muda mzuri wa kupumzika.

0 comments: