Friday 23 May 2014

KINANA AENDELEA KUCHAPA KUCHAPA KAZI MKOANI SINGIDA

1._Katibu_Mkuu_wa_CCM_Abdulrahman_Kinana_akihutubia_wananchi_kwenye_Uwanja_wa_shule_ya_sekondari_Sebuka__wilaya_ya_Ikungi_mkoani_Singida_Mei_22_2014_57131.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi kwenye Uwanja wa shule ya sekondari Sebuka,  wilaya ya Ikungi mkoani Singida, 
3._Jengo_hili_lililoko_Kijiji_cha_Msimi_Kata_ya_Sepuka_wilayani_Ikungi_lilifunguliwa_na_Rais_Jakaya_Kikwete_wakati_huo_akiwa_Waziri_wa_Mambo_ya_Nje_na_Ushirikiano_wa_Kimataifa_f77b0.jpg
Jengo hili lililoko Kijiji cha Msimi, Kata ya Sepuka wilayani Ikungi, lilifunguliwa na Rais Jakaya Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
7._Baadhi_ya_wanachama_wapya_wa_CCM_wakila_kiapo_baada_ya_kupewa_kadi_na_Kinana_baada_ya_uzinduzi_wa_Ofisi_ya_CCM_kata_ya_Inghombwe_wilayani_Ikungi_a1b7d.jpg
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kupewa kadi na Kinana baada ya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Inghombwe wilayani Ikungi.HABARI NA (Awadh Ibrahim).

0 comments: