Thursday 22 May 2014

ANGALIA SEMINA YA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA PAMOMOJA NA WAHARIRI NA WANDISHI WA HABARI KUTOKA MKOA WA MBEYA




Mkurugenzi wa huduma za maabara bibi charys ugullmu akizungumza katika semina  wahariri na wandishi wa habari na mamlaka ya chakula na dawa leo katka ukumbi wa hospitali ya mkoa wa mbeya

Mkurugenzi wa huduma za maabara bibi chary ugullmu akizungumza katika semina ya mamlaka ya chakula na dawa leo katka ukumbi wa rma hospitali ya mkoa wa mbeya

Mwandishi ya mtandao huu akiwa na godwin francis aktika  semina ya TFDAinayofanyika katika mkoa wa mbeya

ni wandishi wabari wakiwa katika semina hiyo
picha ya pamoja  ya wandishi wa habari na mgeni rasmi na wafanyakazi wa TFDA


seminahii inaendela mpaka hivi sasa endelea kufuatilia


0 comments: