KASHFA
kubwa idara ya mahakama Iringa ni baada ya hakimu mmoja wa mahakama
mjini hapa kufumaniwa ndani ya gari ya mwanamke ambae ni mke wa mpiga
picha mmoja maarufu mjini hapa akivunja amri ya sita ndani ya gari
nje ya ofisi ya mahakama ya Mwanzo bomani na jirani na ofisi ya mkuu
wa wilaya ya Iringa.
Tukio
hilo la aibu limetokea usiku wa jana ambapo hakimu huyo ambae
anadaiwa kuongoza kwa michepuko na wake za watu alifumwa na njemba
lenye mke akiendelea kufungua kurasa za mama huyo ambae pia ni mwalimu
wa shule moja za kimataifa katika barabara ya Iringa-Dodoma
Mwandishi
wetu alielezwa kuwa mpiga picha huyo maarufu mjini hapa kwa muda
amekuwa na mgogoro wa ndoa na mkewe huyo kutokana na mwanamke
kuendekeza michepuko na wanaume tofauti tofauti akiwemo hata paroko .
Kutokana
na hali hiyo jembe hilo liliamua kufikisha suala hilo mbele ya pirato
kwa kutoka ndoa hiyo ivunjjike na mahakama hiyo ya mwanzo inadaiwa
kuhukumu kimagumashi na hivyo jemba hilo kuamua kusonga mbele zaidi
na kesi hiyo kuwa mikononi mwa hakimu huyo aliyefumwa akivunja amri ya
sita ndani ya gari.
Hakimu
huyo ambae jina lake linaanzia na herufi A baada ya kufumaniwa
alilazimika kuendesha gari hilo kwa mwendo kasi kukwepa kichapo huku
wakiwa hawajajisitili vema kutokana na nguo zao kuvua ,kabla ya jemba
lenye mke kufukuza kwa boda boda na kuungwa mkono na waendesha boda
boda ambao walifanikiwa kumkamata hakimu huyo na mama mke wa mtu na
kuwapa kichapo kiasi cha hakimu huyo.
Hata
hivyo mbali ya kukutwa na mke wa mtu hakimu huyo alikimbilia
polisi kufungua kesi ya kimagumashi kuwa eti ameibiwa pesa
shilingili laki mbili .Wake za watu ni sumu ACHA MICHEPUKO BAKI NJIA KUU OGOPA UKIMWI.
CHANZO:FANCIS GODWIN
0 comments:
Post a Comment