Saturday 17 May 2014

SOMA KUJUA NI KLABU YA ULAYA INAYOONGOZA KWA WACHEZAJI KATIKA KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014 CHELSEA? MAN UNITED? AU BAYERN MUNICH?

article-2630230-1DE82E2000000578-228_634x429 
Ardhi ya nyumbani: Beki wa Brazil ,  David Luiz ni miongoni mwa wachezaji  18 wa Chelsea wanaotarajia kushiriki kombe la dunia mwaka huu na nchi zao.
KLABU ya Chelsea ndio timu pekee ambayo wachezaji wake wengi wanaenda kushiriki fainal za kombe la dunia kuanzi mwezi ujao nchini Brazil.
 
Wachezaji 18 wa Chelsea wanatarajia kuzichezea nchi zao katika fainali hizo kubwa za soka duniani.
 
Ukiangalia vikosi vya awali vya mataifa mbalimbali na vikosi vya mwisho vya watu 23 , wachezaji wengi wa Chelsea wamechaguliwa, huku wakifuatiwa na Manchester United ambayo wachezaji wake 16 wamechaguliwa licha ya kuwa na msimu mbovu.
 
Kwa wenyeji Brazil, kocha Luiz Felipe Scolari amewaita Oscar, Willian, Ramires na  David Luiz kuichezea nchi yao katika ardhi ya nyumbani.
Kusoma zaidi habari hii bofya www.bkmtata.blogspot.com

0 comments: