Jeshi la Polisi lilifika kwenye eneo la tukio na kutoa onyo kwa
Wananchi waliojikusanya kwenye eneo la tukio ambao walikua hawajui
athari za moto wa gesi.
Watu
hao hawakutii amri hiyo zaidi ya kusogelea eneo la tukio ambapo saa
moja baadaye gari la zimamoto lilifika likiwa limechelewa manake tayari
nyumba ilikwisha ungua.
Sababu kubwa ya kuchelewa kwa gari ni umbali toka Halmashauri ya jiji la Mwanza ambao unasemekana ni umbali wa dakika 45.
Source:matukiodaima.com
0 comments:
Post a Comment