Wednesday, 5 March 2014

HAWA NDIYO TAIFA LA LEO, WANAOKAZANA KUTOKOMEZA UMASIKINI

DSC_0001_ae111.png

  Wanafunzi wa Shule ya Msingi Igula iliyopo kata ya Kihologota tarafa ya Isimani Mkoani Iringa wakiwa mapumziko ya mafupi baada ya vipindi vichache vya asubuhi hii huku kubadilishana mawazo wao kwa wao.  Walikuwa wakisubiri muda wa kupata uji shuleni hapo.
20140227_123812_fc765.png
Mkurugenzi wa Usanifu wa Maishaplus Tanzania Fancis Bonda akiwapa hamasa ya kusoma kwa bidii  wanafunzi hao.  Akawasisitizia kuwa, "Wao ndiyo Taifa la Leo, watakaoutokomeza umasikini kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa ujumla kwa kusoma kwa bidii pasipo kukata tamaa." (Picha zote na Martha Magessa)

Related Posts:

0 comments: