Wednesday 21 May 2014

VITA VITANI! SAMUEL ETO`O AMZABA KIBAO KINGINE JOSE MOURINHO JUU YA UMRI WAKE

Take that: Samuel Eto'o hit back at Chelsea manager Jose Mourinho after comments surrounding his age



Achana na mimi: Samuel Eto’o alimshambulia kocha wa Chelsea  Jose Mourinho baada ya kuambiwa amezeeka.
KWA mara nyingine tena, Mcameroon, Samuel  Eto’o ametengeneza vichwa vya habari kwenye magazeti baada ya kumshambulia  kocha wa Chelsea Jose Mourinho juu ya umri wake.
Katika mahojiano yake na Tovuti ya shirikisho la Soka la Kiafrika, nyota huyo mwenye miaka 33 amemtaja Mourinho kama `Mnafiki` baada ya awali kumuelezea Mreno huyo kuwa ni `mjinga` .
 
Kitendo cha Eto`o kuendeleza vita ya maneno na bosi wake kinadhihirisha kuwa Eto`o sasa anaondoka Stamford Bridge.
Kusoma zaidi kisi hiki bofya www.bkmtata.blogspot.com

0 comments: