Saturday 17 May 2014

ANGALI TP MAZEMBE ALIVYO YAPIGWA BAO MOJA NA EL HILAL YA SUDANI

12juillet2012-division1-j9-mazembe-vs-muungano-14_1342119829
Habari Na Baraka mpenja   
MIAMBA ya soka nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, TP Mazembe imepigwa kidude kimoja kwa yai dhidi ya El Hilal Omdurani ya Sudan katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
El Hilal walianza kutibua mipango ya Mazembe katika dakika ya 51 baada ya Salah Al Jizoli kuandika bao la kuongoza kufuatia kumalizia pasi nzuri ya Bakri Babeker.
 
Kipigo hicho cha bao 1-0 kimewafanya Mazembe kuanza vibaya michuano hiyo na sasa watahitaji kufanya vizuri mchezoz unaofuata, huku wakiwa katika kundi A pamoja na wapinzani wao wakubwa AS Vita.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

0 comments: