Tuesday, 4 March 2014

WATOTO WA MITAANI BADO NI JANGA LA KITAIFA

 


Kijana anaeshi katika mazingira magumu (mtoto wa mitaani) akiwa amelaliwa na tairi chakavu kama vile atachomwa moto, la hasha hapa alikuwa amejipumuzisha jana asubuhi saa nne kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.(Picha na Nathaniel Limu).

0 comments: