Saturday 15 March 2014

ANGALIA MOHAMED DEWJI ALIVYO APISHWA RASMI BUNGENI KAMA MJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

IMG_9709
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba  ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji ( wa pili kushoto) akiteta jambo na baadhi ya Wajumbe wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo wakati wa sherehe fupi za kuapishwa kwa wajumbe hao.
IMG_9729
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba  ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji akielekea kula kiapo cha kulitumikia Taifa Bunge la Katiba.
IMG_9731
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji akila kiapo mbele ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta mjini Dodoma.
IMG_9739
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji, akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta mjini Dodoma.
IMG_9741
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta , akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji.

0 comments: