Sunday 16 March 2014

ARSENAL WARUDI RASMI KINYANG’ANYIRO CHA UBINGWA! KWA KUICHAPA SPURS BAO 1-0

>>WAISHINDA SPURS DABI YA LONDON KASKAZINI 1-0!!
>>NI RASMI BINGWA NI CHELSEA, LIVERPOOL, ARSENAL AU CITY!!
>>MTANANGE UJAO NI CHELSEA v ARSENAL!!
MATOKEO:
Jumapili Machi 16
Man United 0 Liverpool 3
Tottenham 0 Arsenal 1
BPL2013LOGOArsenal wamejeweka hai kwenye mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kushinda 1-0 huko White Hart Lane kwenye Dabi ya London ya Kaskazini wakati Shuti safi la Dakika ya Pili tu la Tomas Rosicky lilipowaua Mahasimu wao Tottenham.
Ushindi huu umeifanya Arsenal ikamate Nafasi ya Tatu kwenye Ligi wakiwa Pointi 4 tu nyuma ya Vinara Chelsea na Mechi moja mkononi.
Nafasi ya Pili inakamatwa na Liverpool ambao wana Pointi sawa na Arsenal na wote wamecheza Mechi sawa lakini nyuma yao, kwa Pointi 2, wapo Man City ambao wamecheza Mechi 2 pungufu.
VIKOSI:
Tottenham: Lloris; Naughton, Kaboul, Vertonghen, Rose; Sandro; Townsend, Bentaleb, Eriksen, Chadli; Adebayor
Akiba: Friedel, Walker, Lennon, Paulinho, Sigurdsson, Kane, Soldado.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Koscielny, Mertesacker, Gibbs, Arteta, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Podolski, Cazorla, Giroud
Akiba: Fabianski, Monreal, Vermaelen, Jenkinson, Flamini, Gnabry, Sanogo.
Refa: Mike Dean.
MSIMAMO:
NA TIMU P GD PTS
1 Chelsea 30 33 66
2 Liverpool 29 41 62
3 Arsenal 29 25 62
4 Man City 27 44 60
5 Tottenham 30 -1 53
6 Everton 28 12 51
7 Man Utd 29 12 48
8 Southampton 30 6 45
9 Newcastle 29 -3 43
10 Aston Villa 29 -6 34
11 Stoke 30 -12 34
12 West Ham 29 -6 31
13 Hull 29 -7 30
14 Swansea 29 -5 29
15 Norwich 30 -24 29
16 West Brom 29 -10 28
17 Crystal Palace 29 -19 28
18 Sunderland 27 -16 25
19 Cardiff 30 -29 25
20 Fulham 30 -35 24
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Machi 22
1545 Chelsea V Arsenal
1800 Cardiff V Liverpool
1800 Everton V Swansea
1800 Hull V West Brom
1800 Man City V Fulham
1800 Newcastle V Crystal Palace
1800 Norwich V Sunderland
2030 West Ham V Man United
Jumapili Machi 23
1630 Tottenham V Southampton
1900 Aston Villa V Stoke
Jumanne Machi 25
2245 Arsenal V Swansea
2245 Man United V Man City
2245 Newcastle V Everton
Jumatano Machi 26
2245 West Ham V Hull
2300 Liverpool V Sunderland

Kutoa maoni

0 comments: