Friday 14 March 2014

ULEVI WAZUA GUMZO MTAA WA MBALIZI MBEYA


Picha ya mzee aliye kutwa amelala  bila kujitambua kwa kunywa pombe kupita kiasi maeneo ya mbalizi jana

Mzee mmoja asiye julikana jina wala makazi yake alikutwa na wandishi wa habari wa mtandao  huu akiwa amelewa na kuijitapikia ovyo akiwa amejilaza chali mtu  huyu amekutwa  jana mchana maeneo mji mdogo wa mbalizi wilaya ya mbeya vijijni mkoa wa mbeya
Babu huyu ameswa na kamera yetu hapo jana maaneo maarufu kwa vilabu vya pombe kama kukulongwa mbalizi,amapo alikua hana uwezo wa kusimama  wala kuinua miguu yake

Baadhi ya mashahidi walio shuhudia tukio hilo wamesema kua  mzee huyo amezoea kumia pombe kupita kiasi  ,ambapo hutoka nyumbani kwake asubuhi kwenda kwenye pombe na kurudi nyumabani jioni au usiku mpaka mtandao huu unaondoka maeneo ya tukio hapo jana mzee huyu alikua hajapatiwa msaada wowote na alikua hajitambui
Baadhi Wakazi wa eneo hilo  walish

auri kua ulevi ni tatizo kubwa katika maisha ya kila siku ,kwanihupelekea maendeleo ya jamii kurudi nyuma na hatimayee jamii kutotimiza malengo
 
Na mwanshi wetu
ADVEAR ALISON  MBEYA VJIJINI

0 comments: