Saturday 15 March 2014

JEZI YA BAHANUZI SIMBA YAGEUKA GUMZO



Mashabiki kibao wa Simba sasa wamegeuza jezi yenye jina la mshambuliaji wa Yanga, Saidi Bahanuzi kama kiburudisho kwao.

Bahanuzi alikosa penalty wakati Yanga ilipopambana na Al Ahly, Jumapili iliyopita jijini Alexandria. Kama angefunga, basi Yanga ingekuwa imefuzu.
Awali jezi hiyo ilianza kusambaa katika mitanao mbalimbali ya kijaamii, lakini sasa mambo yamebadilika na inaanza kuonekana mitaani.

Idadi ya wanaovaa jezi iliyoandikwa Ahsante Bahanuzi imekuwa ikizidi kuonekana kwenye mitaa ya nini la Dar es Salaam
.
CHANZO :SALEHE JEMBE BLOG

0 comments: