
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Igula iliyopo kata ya Kihologota tarafa ya Isimani
Mkoani Iringa wakiwa mapumziko ya mafupi baada ya vipindi vichache vya
asubuhi hii huku kubadilishana mawazo wao kwa wao. Walikuwa wakisubiri
muda wa kupata uji shuleni hapo.
Mkurugenzi
wa Usanifu wa Maishaplus Tanzania Fancis Bonda akiwapa hamasa ya kusoma
kwa bidii wanafunzi hao. Akawasisitizia kuwa, "Wao ndiyo Taifa la
Leo, watakaoutokomeza umasikini kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa
ujumla kwa kusoma kwa bidii pasipo kukata tamaa." (Picha zote na Martha
Magessa)
0 comments:
Post a Comment