Roho
ya mpendwa wetu Dk Edmund Sengondo Mvungi imetoweka duniani saa tisa ya
leo katika hospitali alikokuwa akitibiwa nchini Afrika Kusini baada ya
kupelekwa huko mwishoni mwa juma lililopita kwa matibabu zaidi ya afya
yake kutokana na majeraha makubwa aliyoyapta kwa kuvamiwa nyumbani kwake
usiku wa kuamkia Novemba 3, 2013.
Taarifa ya msiba huu imethibitishwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
Mtaalamu wa sheria, marehemu Dk Mvungi alikuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Alikuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi.
Aliwahi kugombea kiti cha Urais wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi mwaka 2005

Source:WAVUTI BLOG
0 comments:
Post a Comment