Saturday, 2 November 2013

ANGALIA MATOKEO/RATIBA YA LIGI KUU ENGLAND NA CHELSEA KAPIGWA 2-0 NA NEWCASTLE

RATIBA/MATOKEO:

Jumamosi Novemba 2
[Saa za Bongo]
Newcastle 2 Chelsea 0
1800 Fulham v Man Utd
1800 Hull v Sunderland
1800 Man City v Norwich
1800 Stoke v Southampton
1800 West Brom v Crystal Palace
1800 West Ham v Aston Villa
2030 Arsenal v Liverpool

MAGOLI ya Kipindi cha Pili ya Yoan Gouffran na Loic Remy leo yameipa ushindi wa Bao 2-0 Newcastle waliocheza na Chelsea Uwanjani St James' Park kwenye Mechi ya Ligi Kuu England.

MAGOLI:
Newcastle 2
-Gouffran Dakika ya 68
-Remy 89
Chelsea 0

JOSE_MOURINHO-SURA_BAYAChelsea, wakitoka kwenye ushindi wa Mechi 6 mfululizo, walitawala Kpindi cha Kwanza na Nahodha wao John alipiga posti na Kichwa chake kuokolewa kwenye mstari wa Goli.
Lakini Kipindi cha Pili Newcastle walitawala na Gouffran akafunga kwa kichwa baada ya frikiki ya Yohan Cabaye.
Ushindi wa Newcastle ulipata uhakika pale Remy alipopinda shuti lake na kutinga wavuni kufuatia pasi safi ya Vurnon Anita.
VIKOSI:

NEWCASTLE: Krul; Debuchy, Williamson, Yanga-Mbiwa, Santon; Sissoko, Tiote, Cabaye, Gouffran; Shola Ameobi, Remy.
Akiba: Elliot, Tavernier, Anita, Obertan, Sammy Ameobi, Ben Arfa, Cisse.
CHELSEA: Cech; Ivanovic, Luiz, Terry, Cole; Ramires, Lampard; Mata, Oscar, Hazard; Torres.
Akiba: Schwarzer, Azpilicueta, Cahill, Mikel, Willian, Schurrle, Eto'o.


MECHI ZIJAZO:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
[Saa za Bongo]
Jumapili Novemba 3
13:30 Everton v Tottenham
16:00 Cardiff v Swansea
Jumamosi Novemba 9
18:00 Aston Villa v Cardiff
18:00 Chelsea v West Brom
18:00 Crystal Palace v Everton
18:00 Liverpool v Fulham
18:00 Southampton v Hull
20:30 Norwich v West Ham
Jumapili Novemba 10
15:00 Tottenham v Newcastle
17:05 Sunderland v Man City
19:10 Man Utd v Arsenal
19:10 Swansea v Stoke
Jumamosi Novemba 23
15:45 Everton v Liverpool
18:00 Arsenal v Southampton
18:00 Fulham v Swansea
18:00 Hull v Crystal Palace
18:00 Newcastle v Norwich
18:00 Stoke v Sunderland
20:30 West Ham v Chelsea
Jumapili Novemba 24
16:30 Man City v Tottenham
19:00 Cardiff v Man Utd
Jumatatu Novemba 25
23:00 West Brom v Aston Villa
Jumamosi Novemba 30
18:00 Aston Villa v Sunderland
18:00 Cardiff v Arsenal
18:00 Everton v Stoke
18:00 Norwich v Crystal Palace
18:00 West Ham v Fulham
20:30 Newcastle v West Brom
Jumapili Desemba 1
15:00 Tottenham v Man Utd
17:05 Hull v Liverpool
19:10 Chelsea v Southampton
19:10 Man City v Swansea
Jumanne Desemba 3
20:00 Crystal Palace v West Ham
Jumatano Desemba 4
22:45 Arsenal v Hull
22:45 Liverpool v Norwich
22:45 Man Utd v Everton
22:45 Southampton v Aston Villa
22:45 Stoke v Cardiff
22:45 Sunderland v Chelsea
22:45 Swansea v Newcastle
23:00 Fulham v Tottenham
23:00 West Brom v Man City

0 comments: