MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Friday, 29 August 2014

HOT NEWS WATU ZAIDI YA KUMI WAFARIKI KATIKA AJALI MBALIZI MBEYA

Habari kamili  endelea kutufuatilia ...

MCHUNGAJI KOTINI KWA KOSA LA KUISHI NA MKE WA MTU

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, ambapo wananchi wengi wanaamini Mchungaji ni sehemu ya kukimbilia kueleza matatizo yao hususani migogoro ya kindoa, hali imekuwa tofauti jijini Mbeya. Utata umeibuka baada ya Mchungaji, Israel Mwakifuna, wa Kanisa la Jeshi...

MAANDAMANO YA WANAWAKE KUPINGA MAUAJI YAYEYUKA

 Wanawake waliotaka kuandamana mkoani Arusha mandamano  yao ya yayeyuka katika mazingira ya kutatanisha,maandamano  yaliyopangwa kufanyika jana kupinga mauaji waliyodai kuwa ya wanawake wanaoendesha magari pekee...

SHAHIDI AELEZEA JINSI ALIVYOFANYISHWA MAPENZI NA MGANGA WA JADI

  Mwanahamisi Omary (26) alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassan Juma kuwa alimfahamu mganga huyo baada ya kusumbuliwa na tumbo la uzazi kwa muda mrefu. Akiongozwa na Wakili wa Serikali Felista Mosha, Mwanahamisi alidai alikuwa akitibiwa ugonjwa...

NYOTA YA ROONEY YAZIDI KUNG'ARA, AWA NAHODHA WA TIMU YAKE YA TAIFA YA UINGEREZA.

  Mshambuliajiwa Manchester utd na timu ya taifaya Uingereza, Wayne Rooney ametangazwa rasmi kuwa nahodha wa timu ya taifaya Uingereza kuchukua mikoba iliyo wachwa na Steven Gerrard aliye staafu kuchezea timu hiyo yataifa Julai mwaka huu mara baada ya kumalizika...

MKURUGENZI WA ZAMANI WA TANZANIA (TBS), ATUPWA JELA MWAKA MMOJA

 Charles Ekelege akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo ambapo alihukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kulipa faini ya sh.milioni 68.  Hapa ...

KIFAA CHA KUCHUNGUZIA UGONJWA WA EBOLA CHAWEKWA AIR PORT ZANZIBAR

    Mkuu wa kitengo cha kufuatilia mwenendo wa Maradhi Zanzibar Dkt Salma Masauni akionesha Kifaa “THERMAL SCANNER” kwa Wafanyakazi wa Kituo cha Afya cha Uwanja wa ndege wa Zanzibar. Kifaa...

Viongozi, wanaharakati wataka Katiba Mpya Imtambue mtoto na haki zake

  Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas...

WAZIRI MKUU ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI IRELAND

  * Asaini kitabu cha maombolezo ya Waziri Mkuu wa zamani WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametumua salamu za rambirambi kwa Serikali ya Ireland kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Bw. Albert Reynolds. Hayati...

Matukio katika picha Bunge Maalum la Katiba leo 29 Agosti, 2014 Mjini Dodoma

    Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (aliyebeba mkoba) akiwasili Bungeni kuendelea na majukumu ya Bunge Maalum la Katiba. Aliyemtangulia mbele ni Mkuu...

ANGLIA RONALDO ALIVYOSHEREHEKEA TUZO YA MWANASOK BORA WA ULAYA

Busu kwenye tuzo: Nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa leo mjini Monaco, Ufaransa Cristiano Ronaldo akifurahia na tuzo yake Ronaldo (katikati) akifurahia...

XABI ALONSO AKAMILISHA UHAMISHO WAKE BAYERN MUNICH

KIUNGO Xabi Alonso amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 5 kutua Bayern Munich akitokea Real Madrid. Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool, alikuwa akihusishwa na mango wa kuhamia Manchester United baada ya miaka mitano ya kupiga kazi Bernabeu, lakini sasa anakwenda...

Thursday, 28 August 2014

LIGI YA MABINGWA, MAKUND I YAWEKWA HADHARANI ANGALIA HAPA

    MABINGWA wa England, Manchester City wamepangwa kundi moja na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa Ulaya pamoja na CSKA Moscow na Roma, wakati Liverpool wao wamepangwa na mabingwa watetezi, Real Madrid. Mabingwa...

OKWI AREJEA SIMBA SC ILA KESI YAKE NA YANGA IKOPALE PALE

STAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC...

RONALDO APEWA TUZO YA MWANASOKA BORA ULAYA

  MRENO Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ulaya msimu wa 2013-2014 katika sherehe zilizofanyika jioni ya leo mjini Monaco, Ufaransa. Nyota huyo wa Real Madrid amewapiku nyota wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi,...

Balozi wa Guinea ampiga vibaya na kumjeruhi mwanawe

  Polisi wa jiji la Washington Polisi nchini Marekani wameshindwa kumkamata balozi wa Equatorial Guine mjini Washngton,...

MECHI ZA TIKETI ZA ELEKTRONIKI KUPIGWA TANGA, BUKOBA.

TIMU za Mgambo Shooting na African Sports za Tanga zitapambana Jumapili (Agosti 31 mwaka huu) katika mechi ya majaribio ya matumizi ya tiketi za elektroniki itakayochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kwa kiingilio cha sh. 1,000 tu. Mechi nyingine...