Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa
Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum aliyowaandalia nyumbani kwake jana.
Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum aliyowaandalia nyumbani kwake jana.

wageni mbalimbali wakijipakulia futari hiyo katika makazi ya Balozi

Wakina mama nao wakila futari hiyo iliyoandaliwa na Balozi pamoja na familia yake katika makazi yao mjini Geneva.

Picha
cha mbalimbali za kumbukumbu na wageni waalikwa katika futari hiyo
zilipigwa. Picha ya Mwisho ni Balozi Mero akiwa na mkewe na binti yao
ambao ndio walikuwa waandazi wa futari hiyo.
0 comments:
Post a Comment