>>REAL POINTI 3 MBELE YA ATLETICO, 4 KWA BARCA!
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Machi 9
RCD Espanyol 3 Elche CF 1
UD Almeria 1 Sevilla FC 3
Real Madrid CF 3 Levante 0
2300 Valencia v Athletic de Bilbao
REAL MADRID wamerejea kileleni mwa La Liga baada ya kuichapa Levante Bao 3-0 katika Mechi iliyochezwa Santiago Bernabeu.
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA | TIMU | P | W | D | L | F | A | GD | PTS |
1 | Real Madrid CF | 27 | 21 | 4 | 2 | 76 | 26 | 50 | 67 |
2 | Atletico de Madrid | 27 | 20 | 4 | 3 | 63 | 21 | 42 | 64 |
3 | FC Barcelona | 27 | 21 | 3 | 3 | 74 | 22 | 52 | 63 |
David Navarro wa Levante alipewa Kadi
Nyekundu kwa kumchezea Rafu mbaya Ronaldo katika Dakika ya 64 wakati
Timu yake imeshapigwa Bao 2-0.
Mechi inayofuata kwa Real kwenye La Liga ni ya Ugenini Jumamosi ijayo watakapocheza na Malaga.
VIKOSI:
REAL MADRID: Diego Lopez, Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Marcelo, Modric, Alonso, De Maria, Bale, Benzema, Ronaldo
LEVANTE: Navas, Vyntra, Navarro, Juanfran, Nikos, Pallardo, Sissoko, Pinto, Lopez, Barral, Ivanschiz
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Machi 8
Real Valladolid 1 FC Barcelona 0
Real Betis 2 Getafe CF 0
Celta de Vigo 0 Atletico de Madrid 2
Granada CF 2 Villarreal CF 0
2100 Real Madrid CF v Levante
2300 Valencia v Athletic de Bilbao
Jumatatu Machi 10
2200 Osasuna v Malaga CF
2359 Real Sociedad v Rayo Vallecano
Ijumaa Machi 14
Getafe CF v Granada CF
Jumamosi Machi 15
Levante v Celta de Vigo
Rayo Vallecano v UD Almeria
Malaga CF v Real Madrid CF
Atletico de Madrid v RCD Espanyol
Jumapili Machi 16
Elche CF v Real Betis
FC Barcelona v Osasuna
0 comments:
Post a Comment