Wednesday 15 May 2013

UGONJWA WA KIPINDUPINDU WA LIPUKA MBEYA




ugongwa wa kipindupindu kimmeibuka ktk wilaya ya momba mkuani mbeya
        hayo yamesemwa  na mganga mkuu wa wilaya ya mbozi Dk saimon lupondo na kuwaasa wananchi wa wilaya ya mbozi juu ya ugonjwa wa mlipuko wa  kipindupindu  yamesemwa na mganga huyo baada ya wilaya ya jirani ya momba kudhulika   na ugonjwa  wa kipindupindu
        ugonjwa huo usababisha watu nane  kui fariki dunia na wangine wakiendelea namatibabu  amesema wananchi wanajibu wa kutunza mazingira vizuri kwa kufanya usafi wa kusafisha vyoo,kunywa maji safi.na salama na yaliyo chemshwa  
          Dk saimon amesema  endapo ugonjwa huo utaleta mathara kwa wananchi wa walaya hio ya mbozi seri kari  imejipanga kuchukua hatua za kuka biliana na ugonjwa huo  pia serikari ataweka mpango wa kutoa dawa kwa athirika akizungmza na bloga ya mbeyagreennews amesma mwamnanchi anwajibika kujirinda yeye kuliko kusubiri msaada wa serikari        


 habari na frank njiwa kutoka mbozi

0 comments: