Monday 13 May 2013

BALAA; DIRECTOR JONLEE AJIBU SHUTUMA ZA KUZULUMU FILAMU ADAI KAZI ZA KUSAIDIA ZIMEMPONZA






Director JONLEE



TRICE


Baada ya Trice kulalamika juu ya kucheleweshewa kazi yake na mpiga picha Leonard Belej Jonlee  .Mpiga picha huyo amefunguka kuhusu sakata hilo linalo mkabili
Leonard Belej Jonlee amebainisha kuwa kilicho mponza ni huruma aliyo nayo kwani kazi hiyo alifanya kwa malipo ambayo ni sawa na bure yote hiyo ikiwa kama huruma kwa wasanii wa Mbeya wanaolalamika kuhusu hali zao kiuchumi kila kukicha (japo hakutaka kuzungumza ni kiasi gani cha fedha alicho lipwa na msanii trice)
Nilipomuuliza kuhusu walipofika kwa sasa alidai filamu tayari ipo mikononi mwake na kuna makubaliano ambayo wamefikia mpaka sasa na anajiandaa kufanya kazi zake nyingine ambazo zitazokuwa na manufaa kwake
Jonlee alikazia kwa kusema "KAZI ZA KUSAIDIA NDIO ZIMEMPONZA)

source seckozegreat.blogspot.com

0 comments: