KIPIGO
cha 1-0 cha Argentina kutoka kwa Ujerumani ni pigo kwa mwansoka wa
zamani wa kimataifa wa England, David Beckham na familia yake pia, kwani
kiungo huyo wa zamani wa Manchester United alitinga wanawawe Uwanja wa
Maracana wakiwa wamevaa jezi za Argentina.
Brooklyn,
Romeo and Cruz wote walikuwa wamevaa jezi za Argentina, bao la Mario
Gotze likiipa Ujerumani Kombe la tano la Dunia nchini Brazil usiku huu.
Magwiji wa Brazili, Pele na Kaka wote walikutana na Beckham na familia yake na wakapozi kupoiga picha kabla ya mechi.
Pigo
la familia: David Beckham na watoto wake wa kiume, Brooklyn (kushoto),
Cruz (wa pili kulia) na Romeo (kulia) Uwanja wa Maracana Stadium wakati
wa fainali ya Kombe la Dunia baina ya Argentina na Ujerumani
Magwiji: Beckham akitaniana na gwiji wa Brazil, Pele Uwanja wa Maracana kabla ya mechi
0 comments:
Post a Comment