Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKULIMA mkazi wa kijiji cha Nkalankala kata ya
Mwanga,tarafa ya Nduguti wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambaye ni
mlemavu wa ngozi (albino) ,Hidaya Omari (20),anashikiliwa...
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE
Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Sunday, 16 March 2014
MOTO WATEKETEZA NYUMBA ZA POLISI TANGA
Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.
(J M)
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini...
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBU WALIPONGEZA BUNGE LA KATIBA KUONYESHA USAWA WA JINSIA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Lilian Liundi wa TGNP
Na Thehabari.com
MTANDAO wa
Wanawake na Katiba wenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za
wanawake katika Katiba mpya, umelipongeza mchakato na matokeo ya
uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Bunge...
RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TAREHE 17 -21 MARCH,2014
Ofisi ya
Katibu wa Bunge Maalum inawatangazia Wajumbe wa Bunge Maalum na umma
kwa ujumla kuwa Mkutano wa Bunge Maalum utaendelea mjini Dododma kesho
kwa ratiba ifuatayo:
Tarehe 17/3/201 kuanzia saa 3:00 asubuhi kutakuwa na kiapo kwa Wajumbe wa Bunge...
KAMATI YA PAC LEO IMEKUTANA NA BENKI KUU YA TANZANIA (B.O.T)
Kamati ya PAC Leo imekutana na Benki Kuu ya Tanzania kupokea Maelezo kuhusu fedha tshs 201 bilioni za akaunti ya Tegeta Escrow.
Fedha hizi zinahusiana na mkataba IPTL. PAC ina wasiwasi kwamba
TANESCO, kwa mujibu wa...
RIDHIWANI KIKWETE ADHAMIRIA KUWAKOMBOA WANA CHALINZE
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha
Kwaruhombo,leo Machi 16,2014.Ridhiwani Kikwete ameahidi kuyashughulikia
Matatizo mbali mbali wanayokabiliana nayo Wananchi wote wa...
HOT NEWS MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA CCM YASHINDA KWA KISHINDO
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga, Ndg. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wanachama na wapenzi wa CCM baada ya matokeo kuonyesha ameshinda kwa kishindo Kalenga.
Matokeo Kalenga CCM 16861, Chadema 4273, Chausta 78, Umoja wetu ndio Ushindi Wetu!
...
KURASA ZA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MARCH 17/ 2014MBEYAGREENNEWSBLOG
Kurasa za magazeti ya leo kwa hisani ya millard ayo.com na ayo tv
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
...