Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na
waislamu na Viongozi katika swala ya Magharibi katika viwanja vya Ikulu
ndogo ya Mkokotoni kabla ya futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na
Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja jana katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Mkokotoni .
Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa
Jamii,Vijana Wanawake na Watoto Zainab Omar Mohamed, (wa pili kulia)
akijumuika na Viongozi wengine katika futari iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
kwa wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika viwanja vya Ikulu ya
Mkokotoni jana.
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja pamoja na Viongozi mbali mbali wakijumuika katika fuitari
iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya
Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja,
Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B
Unguja akitoa shukurani kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja baada ya futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja
vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na wananchi wa
Mkoa wa Kaskazini Unguja jana baada ya futari iliyofanyika katika
viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja,
[PICHA ZOTE NA RAMADHAN OTHMAN<IKULU]
0 comments:
Post a Comment