WAZEE wa Samba, Brazil,  jana usiku walibanwa mbavu na kuanza 
vibaya kipindi cha kwanza katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Serbia na 
kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0 wakati huu zikisalia zimesalia siku 
tano tu kuanza fainali za kombe la dunia.
Katika hali isiyokuwa ya 
kawaida, mashabiki waliofurika uwanjani waliwazomea wachezaji wa Brazil 
baada ya Fred kufunga bao hilo pekee katika dakika ya 58.
Kusoma zaidi bofya 
 






 
 
 
 






0 comments:
Post a Comment