Hoi
 : Kiungo wa Ujerumani,  Marco Reus akiwa ameshika kifundo chake cha 
mguu wa kushoto baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Armenia
  Reus akitibiwa na madaktariwa timu ya taifa ya Ujerumani.
 PIGO!,  Marco Reus hatihati kucheza fainali za kombe la dunia 
baada ya jana kupata majeruhi ya kifundo cha mguu katika ushindi wa 
mabao 6-1 ambao Ujerumani ilivuna dhidi ya Armenia ikiwa ni pasha pasha 
kabla ya kuanza  kombe la dunia wiki ijayo.
Nyota huyo Borussia Dortmund 
alianguka chini baada ya kugongana na kiungo wa Armenia, Artur 
Yedigaryan na kuambulia kuumia na kuzua hofu kubwa kwa mashabiki wa 
Ujerumani na benchi zima la ufundi.
Kusoma zaidi bofya 
 






 
 
 
 






0 comments:
Post a Comment