Basi
likitekeeta kwa moto mjini Sao Paulo na shabiki mmoja kijana alitaka
kujitosa kwenye moto huu huku akilia na kusema; "Sina nilichokiacha!
Mimi ni Mbrazili na nimetandikwa, nataka kujiua,". Yote haya
yalitokea baada ya Brazil kufungwa 7-1 na Ujerumani katika Nusu Fainali
ya Kombe la Dunia jana.
Askari Polisi wakipambana na vurugu mjini Belo Horizonte baada ya mechi
Polisi wakiwasili Copacabana Beach mjini Rio
Mitaa
ilikuwa tulivu baada ya kipigo, lakini vurugu ziliibuka sehemu
mbalimbali, ikiwemo mabasi kuchomwa moto mjini Sao Paulo baada ya mechi
Basi likiteketea kwa moto
Mashabiki wengine wa Brazil wakijiondokea taratibu kurejea maskani zao
0 comments:
Post a Comment