HOME »
» GARETH BARRY AMWAGA WINO WA MIAKA MITATU EVERTON KUTOKA MAN CITY
Maskani
mpya: Kiungo Gareth Barry akiwa ameshika jezi mpya ya klabu yake mpya,
Everton pamoja na kocha wa timu hiyo, Roberto Martinez katika Uwanja wa
mazoezi wa timu hiyo, Finch Farm baada ya kusiani klabu hiyo akitokea
Manchester City. Chini anasaini Mkataba wa miaka mitatu na Martinez.
0 comments:
Post a Comment